Bongo Dar-Es-Salaam ya Dude Kurudi Tena Hivi Karibuni!!
Kipindi cha mchezo wa maigizo cha Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinaleje...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/03/bongo-dar-es-salaam-ya-dude-kurudi-tena.html
Kipindi cha mchezo wa maigizo cha Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinalejea tena hivi karibuni baada ya kusimama kwa zaidi ya miaka mitatu.

Bila shaka wengi tunakisubiri kwa hamu kubwa.