Flatnews

Hapa na Pale:Nataka Mtoto wa Pili, wa Kunipa Mimba Sina-TIKO

Mrembo na mwigizaji  wa filamu, Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake...


Hapa na Pale:Nataka Mtoto wa Pili, wa Kunipa Mimba Sina-TIKO
Mrembo na mwigizaji  wa filamu, Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake wa kwanza amefikisha miaka 10, tatizo hana wa kuzaa naye.

Akizungumza na Gazeti la Ijumaa Tiko alisema yeye ni ‘mgonjwa’ wa watoto wachanga na anahisi sasa ni muda muafaka ila tatizo mwanaume aliyenaye hana mpango wa kupata mtoto.
“Yaani acha tu, mpenzi niliyenaye naona kama hajajiandaa maana hata nikiongelea ishu ya kubeba mimba, naona ananipotezea lakini kiukweli nahitaji mtoto wa pili,” alisema Tiko.

Related

B/MOVIES 6454513050839734176

Post a Comment

emo-but-icon

item