WEUSI wahahidi show kali IJUMAA hii 14.11.14 pale MBEYA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/weusi-wahahidi-show-kali-ijumaa-hii.html
Wasanii wanaounda kundi la Hip Hop nchini
(WEUSI) Baada ya kumalizana na upande wa kaskazini nikimaanisha ARUSHA
na MOSHI sasa wako tayari kabisa kwa show kali ya Funga Mwaka na Weusi
pale MBEYA katika ukumbi wa CITY PUB kwa kiingilio cha elfu 10 tu.
Safari hii watakuwa wenyewe Weusi kama Weusi tofauti na hizi show mbili
walizozifanya wakiwa na wasanii wenzao wa Bongo Fleva.
