MKUDE ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/mkude-asaini-miaka-miwili-simba-sc.html


Kiungo wa timu ya Simba SC, Jonas Gerald Mkude (katikati) akisani mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto)
Jonas
Gerald Mkude (katikati) akiweka saini ya dole gumba katika mkataba mpya
mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope
(kushoto).Akizungumza baada ya kusaini mkataba huo mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa Silver Pippe, Kawe, Dar es Salaam Mkude amesema kwamba amesaini klabu hiyo baada ya kufikia kiwango cha fedha alichotaka.
Mkude mwenyewe hakusema ni kiasi gani amepewa, lakini habari ambazo mtandao huu mezipata zinasema kiungo huyo amepewa Sh. Milioni 60, ingawa mwenyewe alianzia Milioni 80.