WAZIRI MKUU PINDA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/waziri-mkuu-pinda-akiwa-bungeni-mjini.html
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Urambo na Waziri wa
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, Bungeni Mjini Dodoma
Novemba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Baadhi ya wabuge na Mawaziri, Bungeni
mjini Dodoma Novemba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
