TAZAMA VIDEO MPYA YA YOUNG KILLER ft FID Q & BELLE 9
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/tazama-video-mpya-ya-young-killer-ft.html

Ni muunganiko wa wakali kutokea 88.1 Mwanza na mkali kutokea Morogoro Belle 9 ambao baada ya watu kuusikia kwenye audio walibaki na hamu ya kuwaona pamoja kwenye video….. ndio hii imetoka tayari na imefanywa na director Nisher kutoka Arusha.
Ukishaitazama usiache kutoa yako ya moyoni ili Killer, Fid,Belle 9 na Nisher wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..