SAMAHANI KWA PICHA_JAMAA ACHOMWA MOTO BAADA YA KUJARIBU KUIBA VITU KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA ASUBUHI HII.
GARI LILILOPATA AJALI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/samahani-kwa-pichajamaa-achomwa-moto.html

jamaa
mmoja ambaye jina lake alikutambulika mara moja amechmwa moto asubuhi
hii na kufariki papo hapo baada ya kujaribu kutaka kuiba vitu vikiwemo
Laptop na vitu vyengine katika ajali iliyotokea leo asubuhi baada la Bus
la Wibonela Express kupata ajali na kuua watu wanne .
Endelea kutembelea tovuti yetu kwa habari zaidi

