KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUTUBIA KILWA MASOKO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/katibu-mkuu-wa-ccm-ndugu-abdulrahman.html
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia
wananchi wa Kilwa Masoko katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye
Viwanja vya Mkapa Square mjini Kilwa wakati wa ziara yake ya ya mikoa ya
Lindi na mtwara itakayochukua siku 16 akikagua utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi ya CCM inayotekelezwa na serikali pamoja na wananchi na
kuhimiza uhai wa chama, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
anaongozana na Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi
.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KILWA MASOKO-LINDI)
Ndugu
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia
wananchi wa Kilwa Masoko katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye
viwanja vya Mkapa Square leo.
Ndugu
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa wakati wa mkutano wa
hadhara kwenye viwanja vya Nyerere Square..
Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wakifuatilia hotuba za viongozi mbalimbali walikokuwa wakihutubia.
Mbunge
wa jimbo la Kilwa Kusini kupitia chama cha CUF Selemani Bungala Maarufu
kama Bwege akiwa na wanachama wenzake wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Kilwa
Masoko leo.

Mbunge
wa jimbo la Kilwa Kusini kupitia chama cha CUF Selemani Bungala Maarufu
kama Bwege akifurahia jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Kilwa Masoko leo.

Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wakifuatilia hotuba za viongozi mbalimbali walikokuwa wakihutubia.

Mkuu
wa wilaya ya Kilwa Ndugu Abdallah Ulega akimpongeza Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara.

Umati wa wananchi ukiwa katika mkutano huo.

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Ndugu Abdalah Ulega akizungumza na wananchi katika mkutano huo.

Kikundi cha muziki kikitumbuiza katika mkutano huo.

Wananchi wakiserebuka na muziki katika mkutano huo.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendesha mtambo wa kutengeneza
barabara wakati akishiriki katika ujenzi wa mmradi wa barabara ya Kwa
Mkocho inayoelekea Kilwa Kivinje wilayani Kilwa.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda kwenye Mtambo wa
kutengeneza barabara tayari kwa kushiriki ujenzi wa barabara hiyo.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendelea na kazi.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishangiliwa na Mkuu wa wilaya ya
Kilwa Ndugu Abdallah Ulega wakati alipokuwa akiendesha mtambo wa
kutengeneza barabara aliposhiriki katika ujenzi wa mradi wa barabara ya
Kwa Mkocho inayoelekea Kilwa Kivinje.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye mtambo wa
kutengeneza barabara ya Kwa Mkocho mara baada ya kushiriki ujenzi huo,
kushoto anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Kilwa Ndugu Abdallah Ulega.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya chanzo cha
maji wakati alipokagua shamba la kilimo cha uwagiliaji Mavuji kulia ni
Mkuu wa wilaya ya Kilwa Ndugu Abdallah Ulega.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoka kukagua chanzo cha maji
wakati alitembelea kilimo cha Umwagiliaji kata ya Mavuji.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa shamba la umwagiliaji kata ya Mavuji.
Mbunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda akisalimia wananchi Nangurukuru.

Mbunge
wa jimbo la Mtama, Mlezi wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Kilwa na
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa Mh Bernard Membe akisalimia wananchi
Nangurukuru.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu ABdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kabla ya
kushiriki ujenzi wa nyumba ya daktari katika zahanati ya Nangurukuru

Mradi wa shambi la kuvuna chumvi Miima wilayani Kilwa

Baadhi ya wananchi wakisafisha chumvi katika mradi wa kuvuna chumvi Miima Kilwa.

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika shughuli za
uvunaji wa Chumvu katika shamba la Miina wilayani Kilwa.