Diamond Platnumz atoa “Ntampata wapi?” na huu mwengine
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/diamond-platnumz-atoa-ntampata-wapi-na.html

Chibu Dangote “Diamond Platnumz” ameongelea kuhusu maamuzi ya kutoa wimbo huu wa “Ntampata Wapi?” na wimbo wake mwengine ambao bado hajauweka wazi jina lake. Diamond ameeleza haya akiwa anajadiliana na Bab Tale mmoja kati ya watu wanao M Manage.
“Kama wanaitaka na imekaa tu ndani haina kazi, wape tu basi Mashabiki zako…. kisha kabla ya mwaka kuisha Watolee hiyo unayoitaka wewe….”
Nikamwambia – “sawa Boss Tale”
Kaa karibu na Media zako Kesho kuanzia saa nne asubuhi Audio na Video zitakuwa hewani #Nitampata_Wapi”
So kuna kitu kikubwa zaidi ya hiki ambacho kitatoka kesho mapema asubuhi, ni ngoma ambayo ni pendekezo lake yeye so tusubiri hii ya kesho kisha na hiyo nyengine kabla ya mwaka kwishaaaaaaaaaaaaaaaaa.