BIFU LA TYGA NA DRAKE LAZIDI KUPAMBA MOTO TYGA ATEMBEA NA DEMU WA DRAKE
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/bifu-la-tyga-na-drake-lazidi-kupamba.html

Rapper Tyga ambaye hivi karibuni alisema kuwa hampendi rapper mwenzake wa Young Money 'Drake' amezidi kuonyesha kuwa hana mpango wa kuwa mshkaji wake baada ya kumchukua aliyekuwa mpenzi wa Drake 'Dollicia Bryan' nakufanya naye video.

Hivi karibuni Drake amekuwa akitumiana message mitandaoni na mama mtoto wa Tyga Blac Chyna. Inasemekana Tyga alimwambia Dollicia kuwa nakutumia wewe kwenye video ili Drake akasirike.