ALICHOANDIKA R.O.M.A BAADA YA KUONA KATUNI JUU YA KIFO CHA MSANII GEEZ MABOVU
Tanzania inaomboleza kifo cha rapper Geez Mabovu ambae amefariki kwao Iringa akiwa hospitali jioni ya November 12 2014 baada ya ku...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/alichoandika-roma-baada-ya-kuona-katuni.html
Tanzania inaomboleza kifo cha rapper Geez Mabovu ambae
amefariki kwao Iringa akiwa hospitali jioni ya November 12 2014 baada
ya kuugua kwa kipindi kirefu, ni wiki mbili toka aondoke Dar es salaam
akiwa na hali mbaya kiafya.
Baada
ya kifo chake kumekua na maneno au taarifa nyingi zinazoandikwa kwenye
mitandao mbalimbali ambapo baada ya Roma Mkatoliki kukutana nazo ameamua
kuandika yake ya moyoni kama ifuatavyo.
** Lawama
zinakuwa nyingi sana naona!!! na wengi mnazipeleka eneo moja tu!!
Askwambie mtu hakuna watu wenye #Stress kama sisi #wasanii aaaf mbaya
zaidi sisi wengi wetu hatuwezi kuishinda hiyo #Challenge finally
tunafail!! Kuna kipindi msanii unakuwa #Juu sana na hiyo inatokana na
juhudi zako na support unayopewa na wadau wa mziki (media sanasana) na
mashabiki!! #HALAFU GHAFLA FROM NOWHERE ULE UJUU UNAANZA KUPUNGUA KISHA
UNAISHA KABISA!! AU KUNA WAKATI HUO UJUU HAUISHI TARATIBU UNAISHA GHAFLA
TU VUUUP!! #STRESS INAANZA!! SWALI NI KWANINI HUO UJUU UNAISHA GHAFLA!!?

** ‘Je
uwezo wako unaisha? Unaridhika mafanikio? Unaikosa ile support ya awali
toka kwa wadau? Je unashushwa kwa nguvu za watu fulani? Kuna wengine
sasa wasanii wanakuwa hawajawahi kuwa #JUU Lakini wanafight kufika juu
na wanajituma hasa na #NI_WAKALI sana lakini zinatokea tu #FIGISUFIGISU
msanii anakuwa hatoboi!! Finally anaamini anabaniwa na hapewi support.
..#STRESS INAANZA!! Wasanii kama #GEEZMABOV tunao wengi sana hapa
#TANZANIA lakini hatujifunzi kwa mifano!!’
** ‘Kuna
vipaji havipaswi kupuuziwa hata kidogo jamani vipeni support a hundred
please!! Hatatokea msanii kama #AfandeSelle mi nakwambia hadi leo ni
mkali sana huyu mtu!! Hakuna #Rapper kama #JosMtambo askwambie mtu!!
Yule #Enika yule ni anaimba jamani acha tu!! Hawa vijana wa
#TamaduniMusic ni new #faces zinazokuja vizuri sana wapewe #support!!
#Joslin#MBDog# hawa watu ni #Almasi jamani!! Tunawasanii wakali kibao mi
nakwambia‘
‘DojoNaKaya
ni #nyoko!! Wataimba wote ila mtu kama #RamaDee ni hadithi nyingine
ujue!!! Na isiwepo hii hali ya kwamba “ILI ATOBOE FLANI BASI LAZIMA
FLANI APOTEE!! HII KAULI HAINA MASHIKO KIUKWELI!!! Kwanini apotee?? Si
tuwe wote tu!!! Na msitetee kwa kusema HATA MAREKANI IKO IVO…kwani si
wao!! Ni lazima tuwaige kwani!!?
Roma akaandika tena kwenye post nyingine Instagram
** ‘ILA
UPANDE WA PILI SASA Lakini wakati mwingine sisi wasanii tuna makosa
kutokana na #ATTITUDE zetu…tutambue kuwa tunaofanya nao kazi ni
#WAFANYABIASHARA na sio ndugu zetu wala hakuna sehemu iliyoandikwa NI
LAZIMA WAKUSUPPORT!! Kila mtu ana matakwa yake kama mfanyabiashara kama
mdau!! So #JIONGEZE!!
‘Tuna
#Angle moja tu sasa ya biashara ya muziki wetu nayo ni #SHOW Sasa kuna
wasanii unapita #Mwaka hawajapata show na ni wakali sana…na mbaya zaidi
bado hawapati #AIRTYM katika media houses!!#WANAUMIA SANA!!!!! Kama hiyo
haitoshi msanii ana miezi 6 hajapata show wala akiaandaa mwenyewe
mashabiki hawamsupport anafail…kisha anaskia msanii mchanga tu ametoka
juzi amepigiwa simu ya show #MILIONI3 Amekataa!! Wakati yeye anaitafta
hata show ya #LAKI3 tu hapati!!’
‘STRESS
INAANZA!! Finally ukishindwa kui control stress basi uta end up into
NEGATIVE SIDE!!! Wito wangu tafadhali tuwasapoti na tuzidi kuwasapoti
vijana wetu wenye vipaji…najua wapo wenye matatizo lakini tusiikate
tamaa tuzidi kuwaonyesha njia bora ya mafanikio…hii ni kwenu mashabiki
na wadau wa muziki wetu huu pendwa wa BONGOFLAVA’