POLISI WAMUUWA MLIPUAJI WA MABOMU ARUSHA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/polisi-wamuuwa-mlipuaji-wa-mabomu-arusha.html
Jeshi
la polisi mkoani arusha limemuua kwa kumpiga risasi mtuhumiwa namba
moja wa milipuko ya mabomu katika mikusanyiko na kuwamwagia viongozi wa
dini tindikali baada ya kujaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi akiwa
njiani kwenda kuonyesha bomu alilokuwa amelificha maeneo ya kondoa
mkoani dodoma .