MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR ES SALAAM.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/makamu-wa-rais-dkt-bilal-afungua.html
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma
za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa
Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20,
2014. Picha na OMR
Baadhi
ya wadau wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, wakati akiwahutubia alipokuwa akifungua rasmi Mkutano wa
14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA)
uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 20, 2014. Picha na OMR

Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, akizungumza kabla ya
kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, kufungua Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za
Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa
Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014.
Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo, mshiriki wa mkutano huo kutoka nchini Zimbabwe,
aliyepokea kwa niaba ya Gilchriste Ndongwe, wakati wa ufunguzi rasmi
wa Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya
Afrika (AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu
Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo, mshiriki wa mkutano huo kutoka nchini Tanzania,
Montea Chipungahelo, wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 14 wa
Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA)
uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 20, 2014. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo, mshiriki wa mkutano huo kutoka nchini Nigeria,
aliyepokea kwa niaba ya Samuel Bello, wakati wa ufunguzi rasmi wa
Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika
(AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,
jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano huo
baada ya ufunguzi rasmi. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene na baadhi
ya waratibu wa mkutano huo wakati akiondoka eneo hilo baada ya kufungua
rasmi mkutano huo leo . Picha na OMR