HII NDIO STAGE AMBAYO T.I ATAWASHAMOTO SIKU YA LEO KWENYE FIESTA LEADERS CLUB
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/hii-ndio-stage-ambayo-ti-atawashamoto.html

Baada ya kupita mikoa mbalimbali ya Tanzania sasa imefika zamu ya wakazi wa Dar es salaam kuonja utamu huu wenye msimu wa mafanikio ndani yake sehemu moja ambayo tutakusanyika wote.
Leaders
Club ndiye sehemu pekee iliyoteuliwa kuwapokea wakali mbalimbali
akiwemo Waje kutoka Nigeria,Victoria Kimani kutoka Kenya,T.i na wasanii
wengine ambao watakua kama surprise kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta
2014 Dsm.
Jukwaa
tayari limekamilika kwa asilimia zaidi ya 80 na wasanii mbalimbali leo
wataanza kulifanyia mazoezi kabla ya shughuli yenyewe ambayo ni kesho
Oct 18,kiingilio ni 15,000 ukinunua kabla na 25,000 pale Getini.
Baadhi ya picha za hili jukwaa la Serengeti Fiesta Dar es salaam.
>>millard ayo
















