CCM YAJADILI KUJIENDESHA KIUCHUMI NA MIPANGO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MJINI DODOMA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/ccm-yajadili-kujiendesha-kiuchumi-na.html
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari
kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha
kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa
yanajadiliwa.
