
Tim Cook akionyesha moja ya Ipad kwenye uzinduzi huko Califonia
Kampuni ya Apple ya nchini Marekani imezindua Ipad mpya ambayo ni
nyembamba zaidi kwenye soko kwa sasa na hivyo kuzidi kuteka soko la
Teknolojia.Mkurugenzi mkuu wa Apple Tim Cook akionyesha watazamaji
kwenye uzinduzi huo kwenye makao makuu huko Califonia,aina hizo ni iPad
Air 2 na iPad Mini 3 ambazo zinatumia teknolojia kwenye upande wa
ulinzi ya “Fingerprint”

Ipad Air 2 ikionekana kwenye TV kubwa