Wema Sepetu Amsaka Meninah Kwa Kwa Udi na Uvumba Kwa Kumkwapulia Diamond Platnumz wake
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/wema-sepetu-amsaka-meninah-kwa-kwa-udi.html
Habari
mpya zinasema kuwa Wema Sepetu anamsaka meninah kwa udi na uvumba
sababu ikidaiwa ni Meninah kutoka kimapenzi na Diamond kwa siri kubwa
huku Wema akiwa hana hili wala lile mpaka mapenzi ya wawili hao
yalipoanza kukomaa na kuchanua nje na watu kujua.