Flatnews

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA MTWARA HALITOFANYIKA TAREHE 27! BONYEZA HAPA UJUE KWANINI


serengeti-fiesta

  Lile Tamasha la Fiesta lililokua lifanyike tarehe 27 , mwaka huu kule mtwara limehairishwa kwasababu zilizo nje ya uwezo wa waandaaji. Mmoja wa waandaaji hao , Sebastian Maganga aliandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram : “Kamati kuu ya maandalizi ya serengeti fiesta inatoa taarifa kwa wapenzi, mashabiki, na wafuatiliaji wa tamasha la serengeti fiesta mkoani Mtwara ya kwamba kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa kamati, tamasha hili la serengeti fiesta halitafanyika mtwara siku ya jumamosi tarehe 27 mwezi huu katika uwanja wa Nangwanda Sijaona kama ilivyotangazwa awali.taarifa kuhusu lini tamasha hili litafanyika zitawafikia pindi ambapo mipango itawekwa sawa..kamati inachukua fursa hii kuwaomba radhi wapenzi na mashabiki wote wa serengeti fiesta kwa usumbufu wowote utakaojitokeza..

Post a Comment

emo-but-icon

item