RAIS WA KENYA ALIVYOKUTANA NA WAKENYA HYATT HOTEL NEW YORK CITY
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/rais-wa-kenya-alivyokutana-na-wakenya.html
MH. Rais
wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa amesimama kwenye meza kuu baada ya kuingia
kwenye ukumbi wa Hyatt hotel tayari kwa kuongea na wananchi wake wa
Kenya washio New York na miji ya jilani, kushoto kwa Mh. Rais ni first
Lady Margaret Gakuo Kenyatta.
Mh. Rais
Kenyatta akiongea mbele ya wananchi wa Kenya kwenye mkutano uliofanyika
Hyatt hotel New York City. Mh. Kenyatta aliongea mambo mengi na kati ya
mambo hayo ni jinsi gani angependa wananchi wake warudi nyumbani na
kutoa changamoto za kimaendeleo kwani nafasi wanayo na watapewa
kipaumbele kutoa mchango wa kuiendeleza nchi yao kwa hali na mali.
Meza kuu ya waheshimiwa
H.E. Mr. Macharia Kamau - Kenya Mission to the UN akiongea machache. |
Wakenya walijitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza rais wao |
Hapa wakiimba wimbo wa taifa lao kabla ya mkutano kuanza kama heshima kwa taifa lao na watu wote walisimama. |
w
Kulisomwa sala kutoka dini mbili za Islam na Kristo baada ya wimbo wa taifa
Hapa wakisikiliza swala kutoka kwa Ustadh |
|