Flatnews

FLOYD MAYWEATHER AZIDI KUONESHA 'MASHAUZI YA MPUNGA' ALIONAO...CHEKI MADOLALI HAYO....


Floyd Mayweather posted an instagram picture with a million dollars and wants to sell a lifestyle
BONDIA mkali, Floyd Mayweather mwenye miaka 37 ameendelea kuonesha jeuri yake ya fedha baada ya kuposti picha katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram akiwa amelala kitandanni, akisikiliza muziki, huku akiwa ameweka mamilioni ya dola.

Post a Comment

emo-but-icon

item