Flatnews

PICHAZZ: HIVI NDIVYO CHELSEA ILIIBANJUA ASTON VILLA 3-0 DARAJANI!


Chelsea forward Oscar points someone out in the Stamford Bridge crowd after scoring the opener against Aston Villa
Mshambuliaji wa Chelsea, Oscar akimnyoshea kidole shabiki mmoja katika dimba la Stamford Bridge  baada ya kufunga goli la kuongoza dhidi ya Aston Villa
Oscar met the loose ball parried down by Villa keeper Brad Guzan to slot home and give the hosts an expected lead
Oscar aliunasa mpira unaozubaa mbele ya kipa wa Villa, Brad Guzan na kufunga goli la kuongoza
Oscar is congratulated by his countryman Willian (right) and Diego Costa (left) after he found the back of the net
Oscar akipongezwa na Mbrazil mwenzake Willian (kulia) na Diego Costa (kushoto) baada ya kutikisa nyavu
Spanish striker  Costa (centre) shows his strength under pressure from Villa's Alan Hutton (right) and Philippe Senderos (left)
Mshambuliaji wa Hispania, Costa (katikati) akionesha uwezo wake mbele ya wachezaji wa Aston Villa,  Alan Hutton (kulia) na Philippe Senderos (kushoto)
Aston Villa striker Gabby Agbonlahor shoots to no avail against Chelsea
Mshambuliaji wa Aston Villa, Gabby Agbonlahor akijaribu kupiga shuti katika lango la Chelsea
Costa rises above Villa's Nathan Baker to head home Chelsea's second goal 
Costa akiruka juu na kumzidi beki wa Villa, Nathan Baker na kuifungia Chelsea goli la pili
A flying Guzan (right) is helpless as Costa's header crashes into the net for 2-0
Kipa Guzan (kulia) alijaribu kupangua mpira wa kichwa uliopigwa na Costa, lakini aliambua manyoya 
Costa needs no second invitation to finish from close range 
Costa akishangilia goli lake

Post a Comment

emo-but-icon

item