ANGALIA PICHA ZA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA SONGEA
Wakazi wa Songea mjini mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia leo waliongezeka kwenye orodha ya mikoa iliyopata shangwe za Serengeti Fiest...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/angalia-picha-za-tamasha-la-serengeti.html
Wakazi wa Songea mjini mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia leo
waliongezeka kwenye orodha ya mikoa iliyopata shangwe za Serengeti
Fiesta 2014 hadi sasa. Jionee picha za show hiyo.
Linex aliwaimbisha wakazi wa Songea vya kutosha
Mkuu wa wilaya ya Songea alikimtangaza mshindi wa Super nyota Diva
Mkuu wa wilaya Songea, Joseph Joseph akiwasalimia wakazi wa SongeaMo MusicMr Blue na TID jukwaani
Nay na StaminaNay wa Mitego akimtambulusha producer wake Mr T TouchNickson George
Recho akiwa na dancers wake
Shabiki huyu uzalendo ulimshinda akapanda jukwaani kumfuata Baraka da PrinceBarnaba Boy akiwaimbisha wakazi wa Songea.
Dj Fetty alikiwaambia wakazi wa Songea kuwasha simu zao na kuzinyanyua juu.