Flatnews

Picha: Vin Diesel Amsha Hisia za Washabiki baada ya Kuweka picha ya Paul Walker Facebook


Mwigizaji Vin Diesel ameweka kwenye facebook picha ya Paul Walker iliyogusa watu na mashabiki wengi duniani. Mpaka sasa picha hii imethibitishwa kuwa ni picha kutoka kwenye filamu ya Fast & Furious 7. Picha hii imeambatana na trailer ya filamu hio.
Paul Walker alifariki kwenye ajali ya gari akiwa na miaka 40 mnamo november mwaka jana katikati ya utengenezwaji wa filamu ya saba ya Fast & Furious.

Post a Comment

emo-but-icon

item