PANDE MBILI ZA NAHODHA WA MANCHESTER UNITED WAYNE ROONEY
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/pande-mbili-za-nahodha-wa-manchester.html
Wayne Rooney alioneshwa kadi nyekundu ya
moja kwa moja na mwamuzi Lee Mason kwenye mechi ya ligi kuu England
dhidi ya West Ham. United ilishinda 2-1.
Pande mbili za Wayne Rooney - mfungaji
bora namba tatu wa wakati wote katika michuano ya ligu kuu, lakini ndiye
mchezaji anayeongoza kwa kadi nyingi nyekundu kati ya wachezaji 10 bora
(kadi 6)
Mchoro ukionesha jinsi Rooney
alivyomfanyia faulo mbaya Stewart Downing . Angalia kulikuwa na mabeki
watatu ambao wangezuia hatari