PICHA TATU KALI ZINAZOONYESHA KUWA BEYONCE NI MJAMZITO KWA MARAYA PILI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/picha-tatu-kali-zinazoonyesha-kuwa.html
Tetesi
za Beyonce kuwa mjamzito zimeendelea kusisitizwa hivi karibuni huku
watu wake wa karibu wakieleza kuwa ameanza kufanya matendo kama
aliyokuwa anafanya wakati ana ujauzito wa Blue Ivy.Wikendi iliyopita, Beyonce alichochea tetesi hizo alipotembelea jumba la makumbusho ya kihistoria huko Ufaransa ambapo alikuwa ameshikilia tumbo lake kwa muda, huku likionekana kama limevimba kwa mbali.


