Paris Hilton atumia shilingi milioni 379 baa, aingiza bilioni 4.4 kwa udj wa siku 4
Paris Hilton hivi karibuni ametumia $230,000 ambazo ni takriban shilingi 379,500,000 kunywa pombe na marafiki zake.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/paris-hilton-atumia-shilingi-milioni.html
Paris Hilton hivi karibuni ametumia $230,000 ambazo ni takriban shilingi 379,500,000 kunywa pombe na marafiki zake.
DJ Paris Hilton
Mrembo
huyo na washoga zake walitumia $100,000 peke yake kununua chupa kubwa
za Ace of Spades Champagne na chupa 11 kila moja za Patrón, Cristal na
Grey Goose, kwa mujibu wa mtandao wa Page Six.
Kutokana
na bili hiyo, Paris alitoa tip ya $47,000 kwa wahudumu wa kiota hicho
ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 77. Kwa Hilton, hiyo si fedha ya
kuwaza kwakuwa anadaiwa kuingiza dola milioni 2.7 ambazo ni zaidi ya
shilingi bilioni 4.4 kwa kucheza tu muziki kama DJ kwa siku nne.
