HUYU NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TOP MODEL 2014
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/huyu-ndiye-redds-miss-tanzania-top.html
Mshindi
wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk
(katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili
kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss
Tanzania Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian
Timothy (kulia) na Mshindi wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda
taji hilo jana ambapo Jihan amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu
fainali za Miss Tanania 2014 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss
Tanzania Top Mode lilifanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha na
kuwashirikisha warembo 30..
CRDT:Father Kidevu