MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MHE.SAMUEL SITTA AKIONGOZA BUNGE HILO JIJINI DODOMA.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/mwenyekiti-wa-bunge-maalum-la-katiba_26.html
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Stephen Werema akisoma taarifa ya Mahakama
Kuu ndani ya Bunge Maalum la Katiba leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakichangia hoja za Kamati zao mbalimbali
ndani ya Bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Anne Makinda (kushoto) akiteta jambo na
Makamu wa Pili wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd ndani ya Bunge hilo
leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wazri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia Mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara (kushoto) na Naibu wake, Mhe.
Juma Nkamia wakijadiliana ndani ya bunge hilo leo 26 Septemba, 2014
mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Mark Mwandosya (kushoto) akiteta jambo
na mjumbe mwenzie ndani ya bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini
Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Asha-Rose Migiro (kushoto) akiteta jambo
na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Stephen Werema ndani ya
bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto)
akifuatilia hoja zikizoendelea kuwasilishwa Bungeni hapo. Kulia nia
mjumbe mwenzie, Mhe. Stella Manyanya.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Mary Nagu (kushoto) akiteta jambo na
mjumbe mwenzie, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ndani ya bunge hilo leo 26
Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Asha-Rose Migiro (kulia) akiteta jambo
na mjumbe mwenzie wa bunge hilo, Mhe. Angellah Kairuki ndani ya bunge
hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Augustino Mrema (kushoto) akiteta jambo
na mjumbe mwenzie wa bunge hilo, Mhe. Sophia Simba ndani ya bunge hilo
leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe
wakiwa ndani ya Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa
hoja toka katika Kamati mbalimbali bungeni hapo leo 26 Septemba, 2014
mjini Dodoma.