Mrembo anayefunika kwa umbo zuri nchini Kenya!!!
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/mrembo-anayefunika-kwa-umbo-zuri-nchini.html
Kwa
jina kamili anaitwa Lily Corazon Kwamboka, mrembo kutoka nchini Kenya.
Hauwezi ukamaani kuwa binti huyu ni mwanasheria aliyehitimu masomo yake
kutoka chuo kikuu cha Nairobi. Kama ndio mtu unakesi alafu demu ndio
wakili wako basi hesabu ushindi. Umaarafu wake umetokana na umbo lake la
kuvutia na baadhi za picha alizopiga kutoka studio ya buoart . Hizi ni
baadhi ya picha za corazon :-

