MMMMH KIVAZI CHA JOKATE CHAZUA GUMZO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/mmmmh-kivazi-cha-jokate-chazua-gumzo.html
Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO na mtangazaji mahiri Bongo, Jokate Mwegelo amezua utata baada ya kupiga picha akiwa ametinga suruali iliyochanika.
Akizungumzia
picha hiyo ambayo imevuja katika baadhi ya mitandao, Jokate alisema
alivalia mavazi hayo hivi karibuni Afrika Kusini alipokuwa amekwenda
kurekodi wimbo wake mpya (hakuutaja jina) na alivaa makusudi ili
kuonesha utofauti.
“Nimeamua
tu kuwa tofauti maana hata watu wengi walikuwa wakijiuliza kulikoni
mimi kuvaa hivyo lakini mimi nafikiri lazima kuna wakati tunatakiwa
kuonekana tofauti na siyo mapambo muda wote ukibadilika hata unachofanya
unakuwa tofauti,” alisema Jokate