MAHABA NIGALAGAZE; SHILOLE: SIWEZI KUACHANA NA NUH
KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Moham...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/mahaba-nigalagaze-shilole-siwezi.html
KUFUATIA varangati
lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, baada
mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftari
Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na mashabiki, Shilole ameamua kufunguka
kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake katika hali yoyote.
Mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akizungumza
na paparazi wetu, Shilole alisema lengo lake lilikuwa ni kumtambulisha
mpenzi wake kwa mashabiki wake japo walimkataa kuwa shemeji yao.
“Wakati
namtambulisha Nuh kwa wakazi wa Tabora kuwa shemeji yao kiukweli
nilishindwa kuelewa kwa nini nilizomewa ila ninachoweza kusema tena
wakubali, wakatae Nuh atabaki kuwa shemeji yao tu,” alisema Shilole.