Flatnews

KIMBUNGA CHA NYIMA WATU 200,000 MAKAZI




Kimbunga kinachofahamika kama Fung wong kimeiletea nchi ya Filipino mvua mkubwa pamoja na upepo mkali uliosababisha watu 200,000 kuhama makazi yao.
Waokoaji wamesema watu watano wamefariki huku watu wawili waki wamepigwa shoti ya umeme wakati wakiwa ndani ya mafuriko hayo.
Mji wa Manila pamoja na kaskazini mwa nchi hiyo pameharibiwa vibaya sana huku waokoaji wakiokoa watu kutoka kwenye mapaa ya nyumba.
Kimbunga hicho kinachoelekea kaskazini kinatarajiwa kupiga Taiwan siku ya Jumapili.
Chanzo: BBC

Post a Comment

emo-but-icon

item