Kendall Jenner: Mdogo wake Kim Kardashian ambaye ni shida nyingine Marekani (Picha)
Familia ya Kardashian imebarikiwa kuwa na wasichana warembo ambao kila siku wapo kwenye headlines. Kendall Jenner, mdogo wake n...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/kendall-jenner-mdogo-wake-kim.html
Familia ya Kardashian imebarikiwa kuwa na wasichana warembo ambao kila siku wapo kwenye headlines.
Ukianzia
Kim, Kourtney na Khloé Kardashian na sasa Kendall na Kyle Jenner ambao
ni watoto wa baba mwingine, Bruce Jenner. Kendall alizaliwa November 3,
1995 lakini sasa tayari amekuwa na umaarufu mkubwa katika ulimwengu wa
fashion.
Pamoja
na kuonekana kwenye show yao ya ‘Keeping Up with the Kardashians’,
Kendall amewahi kuonekana kwenye show za televisheni ambapo mwaka 2012
aliigiza kwenye episode moja ya Hawaii Five-0. Yeye na dada yake, Kylie
wana kampuni yao ya nguo iitwayo “Kendall & Kylie. Kwa sasa Kendall
amekuwa akishiriki kwenye show kubwa za fashion duniani ikiwemo Paris
Fashion Week inayoendelea.
Ona picha zaidi hapa.