HOT NEWS: POLISI WAWILI WAJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA KITU KINACHOSEMEKANA NI BOMU
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/hot-news-polisi-wawili-wajeruhiwa.html
Askari
polisi waliokuwa katika doria maeneo ya mtaa wa Mabatini Songea Mjini
wamenusurika kufa baada ya kurushiwa kitu kinachosemekana ni bomu la
kutengenezwa kwa mkono majira ya saa 2 usiku wa jana mmoja akiwa ni wa
kiume na mwingine akiwa ni wakike. Tarifa kamili tutawaletea endelea
kufatilia