Flatnews

FERNANDO TORRES ATUPIA KIDUDE CHA KWANZA AC MILAN IKIPATA SARE SERIA A

Fernando Torres akishangilia bao lake la kwanza akiwa AC Milan 



1411506138072_wps_56_epa04414080_Milan_s_forwa
Fernando Torres akishangilia bao lake la kwanza akiwa AC Milan 
FERNANDO Torres amefungua goli la kwanza AC Milan ikitoka nyuma na kupata sare ya 2-2 dhidi ya timu iliyopanda ligi kuu ya Italia, Seria A, Empoli.
Baada ya goli la mapema la Lorenzo Tonelli na Manuel Pucciarelli, Torres alifunga kwa kichwa katika dakika ya 43 na Mjapan Keisuke Honda alisawazisha bao lingine katika dakika ya 58.
Milan walikuwa na nafasi ya kushinda baada yaTorres aliyejiunga kwa mkopo wa miaka miwili mwezi uliopita kutoka Chelsea kumtengenezea nafasi Jeremy Menez katika dakika ya 62, lakini shuti la Mfaransa huyo liligonga mwamba.
The former Chelsea striker's brilliant header brought his new side back into the Serie A clash 

Post a Comment

emo-but-icon

item