CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI
Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY)
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/chuo-kikuu-kishiriki-cha-ushirika-na.html
CHUO
Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo
kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi
(MoCU).Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha
Sokoine (SUA) waliokuwa walezi wa chuo hicho, Philemon Luhanjo.