Flatnews

ARSENAL MBIONI KUANZA MAZUNGUMZO NA PSG KUHUSU KUMSAJILI ADRIEN RABIOT



1411501696557_wps_4_TOULON_FRANCE_MAY_29_Adri

Rabiot amecheza kila mechi ya timu ya Taifa ya Ufaransa
 ARSENAL hawana masihara sasa!. Wanahitaji mazungumzo na PSG kuhusu kumsajili kiungo Adrien Rabiot  ambaye anamaliza mkataba wake majira ya kiangazi mwaka huu na anaweza kuongea na klabu za nje kuanzia mwezi januari.
PSG midfielder Adrian Rabiot is attracting strong interest from Premier League side Arsenal
Vyombo vya habari vya Ufaransa vilimhusisha Rabiot  kujiunga na washika bunduki mapema majira ya kiangazi mwaka huu, lakini sasa inaaminika kuwa Arsene Wenger amevutiwa naye baada ya kuonesha kiwango kizuri akiwa na timu ya U21 ya Ufaransa.
Nyota huyo mwenye miaka 19 kwasasa ana mkataba na PSG mpaka mwaka 2015, lakini ameshindwa kuongeza  mwingine na kocha  Laurent Blanc.

Post a Comment

emo-but-icon

item