ROONEY ATIMIZA MIAKA 1O AKIWA MCHEZAJI WA MAN UNITED
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/rooney-atimiza-miaka-1o-akiwa-mchezaji.html
Muongo mmoja: Wayne Rooney (kulia) ametimiza miaka 10 tangu asajiliwe Manchester United kutoka Everton Agosti 2004
MSHAMBULIAJI Wayne Rooney leo ametimiza miaka 10 tangu asajiliwe na Manchester United kutoka Everton.
Mshambuliaji huyo aliyesajiliwa na Seri Alex Ferguson kwa Pauni Milioni 25 Agosti 31, mwaka 2004 amefunga mabao 218 katika mechi 444 ndani ya miaka yake 10 kwenye klabu hiyo na sasa amepewa Unahodha na kocha mpya, Louis Van Gaal.
