LIVERPOOL YAUA 3-0
Liverpool imeng'ara leo kutoka kulia Sturridge, Gerrard na Balotelii LIVERPOOL imeichapa mabao 3-0 Tottenham Hotspur katika mchez...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/liverpool-yaua-3-0.html
Mshambuliaji mpya, Mario Balotelli
aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 16 kutoka AC Milan wiki iliyopita, leo
amecheza mechi yake ya kwanza Liverpool, lakini hakufunga licha ya
kucheza soka nzuri.
Kikosi cha Liverpool kilikuwa;
Mignolet, Manquillo, Moreno, Gerrard, Lovren, Sakho, Henderson,
Sterling/Enrique dk86, Sturridge, Balotelli/Markovic dk61 na Allen/Can
dk61.
Tottenham Hotspur: Lloris, Dier,
Rose/Davies dk72, Capoue, Kaboul, Vertonghen, Lamela, Bentaleb/Dembele
dk59, Adebayor, Eriksen/Townsend dk59 na Chadli
CHANZO BIN ZUBERY
