PIERRE VAN HOOIJDONK ATEULIWA KUWA KOCHA MSAIDIZI UHOLANZI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/pierre-van-hooijdonk-ateuliwa-kuwa.html
Pia Hiddink amemwambia nahodha wa timu hiyo Robin van Persie kupatana na Pierre van Hooijdonk ambaye waligombana wakati wa fainali za kombe la dunia, wakati Pierre van Hooijdonk aliposema Van Persie hafai kucheza kwenye mchezo wa mshindi wa 3 kutokana na kutokuwa na kiwango kinachostahili.
