Flatnews

JE KWA USAJILI HUU PENGO LA LUIS SUAREZ LITAZIBIKA LIVERPOOL?


Klabu ya Liverpool mpaka sasa imeshatumia kiasi cha zaidi ya £100m kufanya usajili - Rickie Lambert, Adam Lallana, Dejan Lovren, Lazar Markovic, Divock Origi, Emre Can, na wapo njiani kukamilisha usajili wa Alberto Moreno na Javier Manquillo.

Wasiwasi wangu ni kwamba wamefanya usajili mzuri lakini hakuna mchezaji wa daraja la dunia aliyesajiliwa mpaka sasa ili kuiongezea timu makali ukizingatia safari hi wanashiriki kwenye michuano yote ya ndani na nje. Wamemuuza Luis Suarez kasajiliwa Rickie Lambert - Maoni yenu kuhusu usajili wa Liverpool na nafasi yao kwenye msimu ujao....

Post a Comment

emo-but-icon

item