WIMBO WA TAIFA WAMLIZA NEYMAR, AMWAGA MACHOZI `LAIVU`, SONGA NAYO UONE......
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/wimbo-wa-taifa-wamliza-neymar-amwaga.html
Mapenzi wa taifa leo: Beki wa zamani wa Chelsea , David Luiz akiimba kwa hisia kali wimbo wa taifa wa Brazil
Hisia: Wimbo wa Taifa ulimfanya Neymar amwage machozi
Tabasamu mwanana!: Hawa ni mashabiki wa Brazil wakitazama mechi dhidi ya Mexco
Mashabiki wa Brazil wakiwa mjini Fortaleza kwenye mchezo dhidi ya Mexico