KWA HILI LINEX UMEKOSEA SANA, ULICHOFANYA NI KAMA MATUSI KWA WAAFRIKA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/kwa-hili-linex-umekosea-sana.html
Nilikuwa sitaki kuiweka hii picha maana nina wazungu kwenye fb yangu
watashangaa sana kumuona LINEX kavaa hii tishet yenye chatta hii,,hii ni
CHATTA MBAYA SANA especially kwa ss waafrika kuivaa ni kama
unajidhalilisha,,
Adolf hitler kama humjui kamgoogle ujielimishe alikuwa ni nani,,Adolf hitler alikuwa mbaguzi alochukia wayahudi na kuuwa 6million jews wakati wa uhai wake,,
tukisema hii chatta inarepresent NAZI NAOMBA muelewe ni kitu gani,,
marekani kuna kundi linajiita K.K.K AMBAO mpaka leo wapo ila hawajionyeshi kwa sana but wapo na K.K.K waliwauwa wamarekani wakiwang kwenye mti na kuwavalisha kitambaa cheupe na wao huvaa nguo nyeupe na kitambaa wakiewa wanafnya mabaya yao,,hii CHATTA inarepresent ubaguzi na chuki inakuwaje ww leo kama mwafrika unavaa kitu kama hiki,,Linex ni msanii anaweza akaja akasafiri nchi za watu na hawatomuelewa hata sekunde moja wakachukulia kama dharau kumbe hajui,,inamaana wote walomuona hiyo cku hawajui maana ya hii CHATTA,,Leo nimepost hii picha kwenye blog yangu na kuonglea maana yake nimegundua kuna watu wengi sana hawajui maana ya hii kitu,,naomba muelewe kuwa THE NAZI CHATTA sio kitu wewe mweusi wewe leo ukivae na kukipromote yaani utakuwa hauko sahihi kabisa,,weusi tumetoka mbali sana naomba tujikumbushe na kujithamini na kutoendekeza ujinga kama huu,,nimemaliza.com!!

Crdts: Friend