WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/waziri-mkuu-mhe-pinda-akiwa-bungeni.html
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wazee Mohammed Cheupe (katikati) na
Seif Membe (kulia) kutoka Jimbo la Ruangwa ambao walitembela bunge
mjini Dodoma Juni 20, 2014, kwa mwaliko wa mbunge wao Kassim Majaliwa
ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)