URUSI YA FABIO CAPELLO YATOKA SARE YA 1-1 NA KOREA KUSINI KOMBE LA DUNIA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/urusi-ya-fabio-capello-yatoka-sare-ya-1.html
Akinfeev akiutazama mpira unaovuka mstari na kuzama nyavuni.
Akinfeev akiwa amelala chini baada ya kuifungisha timu yake, huku mwenzake Vasily Berezutski akiokota mpira nyavuni.
Lee Keun-Ho alipiga shuti la mbali ambalo lingedakwa kirahisi na kipa Akinfeev
Timu ya taifa ya Urusi jana alfajiri ya leo imetoka sare ya 1-1 na timu ya taifa ya Korea kusini katika mchezo wa kombe la dunia unaoendelea nchini Brazil.
Mlinda mlango wa Urusi, Igor Akinfeev
akijifunga bao katika harakati za kuokoa Shuti la Lee Keun-Ho, lakini
Warusi walisawazisha bao hilo kupita kwa Aleksnadr Kerzhakov
Kikosi cha Urusi (4-3-3): Akinfeev 3; Eshchenko 5, Berezutskiy 5, Ignashevich 6, Kombarov 6; Fayzulin 6, Shatov 5 (Dzagoev 60’ 6.5), Glushakov 5 (Denisov 72’ 5); Samedov 5, Kokorin 5, Zhirkov 5 (Kerzhakov 6.5).
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Kozlov, Schennikov, Semenov, Kanunnikov, Lodygin, Granat, Mogilevets, Ryzhikov, Ionov.
Waliopata kadi: Shatov.
Kocha: Fabio Capello, 6.
Kikosi cha Korea kusini (4-4-2): S R Jung 4.5; Y Lee 5, J H Hong 6 (S H Hwang 72’ 5), Y G Kim 6, S Y Yun 6; C Y Lee 6, K Y Han 6, J C Koo 6, S Y Ki 7; H M Son 6.5 (B K Kim 84’), C Y Park 5.5 (K H Lee 56’ 5)
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Kim Chang-soo, Kwak Tae-hwi, Ha Dae-sung, Park Jong-woo, Kim Shin-wook, Ji Dong-won, Kim Seung-gyu, Park Joo-ho,
Lee Bum-young.
Kadi ya njano: Son, Ki, Koo
Kocha: Hong Myung-Bo 6.5
Mwamuzi: Nestor Pitana 6.5