TIMU ZA AFRIKA ZAZIDI KUWA UROJO KOMBE LA DUNIA, ALGERIA NAYO YAKUNG`UTWA 2-1 NA UBELGIJI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/timu-za-afrika-zazidi-kuwa-urojo-kombe.html
- Tabasamu kubwa: Mshambuliaji wa Ubelgiji Dries Mertens akishangilia bao la ushindi usiku huu.
- Dries Mertens aliifungia Ubelgiji bao la pili na la ushindi.
- Marouane Fellaini aliisawazishia Ubelgiji bao kwa njia ya kichwa.
- Marouane Fellaini aliingia akitoka benchi kwa lengo la kuwasaidia Ubelgiji kusawazisha goli.
- Algeria walikuwa wa kwanza kuandika bao kupitia kwa Sofiane Feghouli aliyefunga kwa njia ya penati.
- Eden Hazard alianza katika kikosi cha kwanza wakati kinda wa Manchester United alikaa benchi.