SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKUBALIKA NA MASHABIKI, LEO KUZINDUA WIMBO WAO MPYA “PASUA TWENDE” NDANI YAK IOTA CHA THAI VILLAGE
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/skylight-band-yazidi-kukubalika-na.html
Vijana
machachari wa Skylight Band Kutoka kushoto Donode, Digna Mbepera, Sony
Masamba na Mary Lucos wakitoa Burudani kwa mashabiki wao ndani ya Thai
Village,USikose Leo kutakuwa pia na Uzinduzi wa Wimbo wao mpya PASUA
TWENDE Itakuwa hapatoshiii.
Weweeee
Usicheze na Sony masamba(katikati)akiyarudi mauno safi kabisaaaa kuwapa
burudani wapenzi wa Skylight ndani ya Thai Village.
Hapo hapooo Taratibuuuu weweee Sam Mapenzi akiyarudi mastep ndani ya Thai Village Sony Masamba akifuahiii na Mashabiki Wake.
Sony Masamba (Mutoto ya kongo)akiporomosha Vocal Kali Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha maraha Thai Village.
Kijana mdogo lakini mwenye Vocal kali : Hashim Donode
akiimba kwa hisia kali kabisaaaa Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha
maraha Thai village Sogea leo upate nyimboo kali pamoja na Uzinduzi wa
Wimbo wao mpya.
Digna Mbepera (katikati)akifurahiii kwa staili kaliii za kuzungusha zungusha kwenye steji.