SHAMSA FORD AFUNGUKA BAADA YA PICHA CHAFU ZA UTUPU ZINAZODAIWA KUWA ZAKE AKIWA NA MH. MBUNGE SALVATORY MACHEMLI ( CHADEMA ) KUSAMBAA MTANDAONI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/shamsa-ford-afunguka-baada-ya-picha.html
Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni tangu juzi.
Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito.
Shamsa Ford.
Shamsa ana umbo la kawaida ki-shape lakini msichana huyo anaonekana kuwa na umbo namba nane.
Jana
baada ya kuona picha hizo ambazo zimesambaa hasa kwenye kurasa za
kisiasa kwenye mitandao ya kijamii zikimuandama mbunge huyo wa Chadema,
mwandishi wetu alimtafuta Shamsa na kumueleza kila kitu na kwa kujiamini
Shamsa alisema picha hizo sio zake, zimetengenezwa na pia msichana
anayeonekana kiumbo wako tofauti na hata sura na akasema anajiheshimu
sana na ana familia yake asingeweza kufanya jambo kama hilo...
Moja ya picha hizo tukiwa tumeikata kwa sababu za kimaadili
Alipoulizwa kama anafahamiana na Mh. Salvatory Machemli pia alikana kujuana naye achilia mbali kuwahi kukutana naye.
"Zimedaiwa kuwa ni mimi but sio mimi, naomba uangalie hizo picha
vizuri au kama upo WhatsApp nikutumie halafu uone je ni mimi, kabla
sijakujibu" Alisema Shamsana na kuongeza;
"Si
umbo tu, hata sura ni tofauti, sijawahi hata kumuona huyo mheshimiwa,
nahisi ni watu ambao wananichukia wanataka kunichafua, kiukweli nawaomba
mashabiki wangu kabla ya kuanza kunihukumu waziangalie kwanza hizo
picha vizuri, mimi nina familia na najiheshimu".
Kwa
upande mwingine baadhi ya wachangiaji mitandaoni wamedai kuwa picha
hizo ni za kutengenezwa kwa sababu Mh.Machemli ana kitambi lakini katika
picha hizo hazimuonyeshi akiwa na kitambi, wengine wamesema kuwa picha
hizo zimechukuliwa katika mtandao mmoja wa ng9no na kufanyiwa photoshop
lengo lake likiwa ni kumchafua kisiasa mbunge huyo ambaye anadaiwa
kukumbwa na misukosuko ya mara kwa mara.


