Flatnews

JAMANI NI SHIDERR ONA SUPER STAR AGNESS MASONGANGE NA NYWELE ZAKE MPYA ZA KI-RIHANNA RIHANNA LIVE!! NI TAABU APA MUJINI BONGO!! MPYA ZA KI-RIHANNA RIHANNA LIVE!! NI TAABU APA MUJINI BONGO!!



Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM mwanadada Agnes Gerald aka Masogange, Bila kuandika chochote ameweka picha kuonyesha mtindo wa nywele za mwanadada RIHANA na kisha kuweka mtindo wa nywle aliouweka, ambao unafanana na ule wa RIHANA....pendeza sana mama.....we unaonaje?

Post a Comment

emo-but-icon

item