MOVIE YA KUBAKA MME WA FROLA MBASHA INAENDELEA, NOW MTITU AINGILIA KATI. AMCHANA FROLA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/movie-ya-kubaka-mme-wa-frola-mbasha.html
HAYA
NDO MANENO ALIYO ANDIKA WILLIAM MTITU KUPITIA INSTAGRAM YAKE KUHUSU
FLORA MBASHA NA MUMEWE EMMANUEL MBASHA, ANEKABILIWA NA KESI YA KUBAKA.
Ukiiangalia
vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya frola mbasha kuna kitu
nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza tayali.....hicho
kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa makini anaweza asiwe
uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza .namaanisha mzee nguza
na papii kocha wako wapi? Kiukweli frola una roho mbaya ya mwisho
kabisa ilichanganyika na ukatili wa mwisho kabisa kiasi kwamba nashindwa
kuelewa umeokoka nn ww ? Eti umemrudia YESU ?YESU yupi huyu nnaemwabudu
mm au una YESU wako ww na HUYO GWAJIMA wako? Leo umemsahau Mbasha ww ?
Wakati alikuokata umechakaa wakati mbasha dereva teksi leo wataka
kumfunga ili iwe nn sasa mbasha akifungwa utapata faida gani ww?
Huyo
mtoto akija kukuuliza baba yuko wapi utamwambiaje? Fine unaweza
kujikaza ukamwambia yuko jera je akikuuliza nani alimshitaki utajibu nn ?
Pia waweza kujikaza ukawataja hao wasichana mliowapandikiza je akiuliza
ww ulifanya jitihada gani baba asifungwe utasemaje? Hapo auna jibu Acha
roho mbaya NENDA KAMTOE MARA MOJA NA MWENDE NYUMBANI MKAONGEE KAMA
FAMILIA TWAJUA UWEZO HUO UNAO ILI NA YEYE ATAFUTE HAMSINI ZAKE KAMA WW
ULIVYOAMUA KUJISALIMISHA KWA GWAJIMA. USIJE UKASHANGAA WATU WAKASUSIA
KAZI ZAKO ZOTE. GDAY.